Clergy retreat 14 January 2022
Report from the clergy retreat:
GOOD NEWS!
The Anglican Diocese of Kondoa, led by Bishop Rt. Rev. Dkt. Given Gaula (PhD), held a quiet day of retreat for all diocesan clergy and their wives from THursday13 January to Saturday 15 January 2022. The day was held to reflect on how God was working in their lives and consider how the Diocese should respond during 2022.
The quiet day was led by Bishop Rt. Rev. Dkt. Dickson Chilongani (PhD) of the Diocese of Central Tanganyika, Dodoma.
Bishop Dr. Chilongani challenged the clergy in three major areas:
-
To thank God for leading us in various things in the past year. He spoke from Exodus and Lamentations 3: 22-24 and emphasised that it was not by our strength but by the mercy of God that we were protected from accidents and death.
It is of the LORD's mercies that we are not consumed,
For his mercy endureth for ever.
It is new every morning;
Your faithfulness is great.
The LORD is my portion, saith my soul;
So I will trust him.
2. He emphasized the importance of the Priest having goals and doing new things every year. God says His Mercy is new every day so we as Priests should also look for new ways of serving God every year.
3. Maintaining stewardship of our church family, maintaining UNITY and avoiding divisions, looking at 1 Corinthians 3 and 4. Here the Bishop emphasised that the people who lean on their own worldly vision are the root of destruction. The pastor must not puff himself up but instead focus on maintaining unity and solidarity. He must have the integrity of a lawyer and use the mysteries of God, considering:
-
His honestly.
-
Investment
-
Use of Time
-
Honesty in Spending Money.
Peace and solidarity has been a great blessing to the Diocese of Kondoa. Kondoa 2022 will be a year of planning and achieving Goals.
GOD BLESS THE DIOCESE OF KONDOA
More pictures below
HABARI NJEMA
Kanisa Anglikana Dayosisi ya Kondoa - Dodoma chini ya Baba Askofu Rt. Rev. Dkt. Given Gaula (PhD) wamefanya utulivu wa Makasisi wote wa Dayosisi na Wezi wao ambao umeanza Jana Tarehe 13/01/2022 Hadi Tarehe 15/01/2022 kwa ajili ya kutafakari juu ya kazi ya MUNGU mwaka 2022.
Utulivu umeongozwa na Baba Askofu Rt. Rev. Dkt. Dickson Chilongani (PhD) wa Dayosisi ya Central Tanganyika Dodoma.
Askofu Dkt. Chilongani amewaasa Makasisi katika mambo makubwa matatu.
1. Kumshukuru MUNGU kwa kutuvusha Katika mambo Mbalimbali katika Mwaka uliopita Baba Askofu amesema Neno Kutoka
Maombolezo 3:22-24
Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii,
Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
Ni mpya kila siku asubuhi;
Uaminifu wako ni mkuu.
BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu,
Kwa hiyo nitamtumaini yeye.
Hapa amesistiza kuwa sio kwa ujanja Ila kwa huruma za MUNGU korona, ajali, kifo n.k havikutupata.
2. Kwa kutumia mistari ya hapo juu akakaza katika umuhimu wa Kasisi kuwa na malengo na kufanya mambo mapya kila mwaka kwani hata MUNGU anasema Rehema zake ni mpya kila siku hivyo hata Makasisi lazima tuwe na mambo mapya siyo kila mwaka Pareshi yako haifanyi kitu kipya.
3. Kutunza nafasi ya uwakili Wetu, kudumisha UMOJA na kuepusha migawanyiko (Migogoro) katika Kanisa. *1koritho 3 na 4.
Hapa baba Askofu amekazia kuwa Shina la uharibifu ni Watu kutegemea hekima ya Duniani
Kama Kasisi asipojivuna na kujitukuza na akajiona ni wakili atadumisha UMOJA na mshikamo.
Pia kama wakili lazima awe na sifa ya kutunza Siri za MUNGU ambayo ni uaminifu mbele za MUNGU katika
??Kutumika kwa uaminifu.
??Uwekezaji
?? Matumizi ya Muda
?? Uaminifu katika Matumizi ya Fedha n.k
Utulivu umekuwa wa BARAKA sana Kwa Dayosisi ya Kondoa
#Kondoa mwaka 2022 ni mwaka wa kupanga na kutimiza Malengo
MUNGU IBARIKI DAYOSISI YA KONDOA.